Karibu Kwenye Tovuti Ya Bishop Dr. Livingstone Denis
Mchungaji Kiongozi - Kanisa la E.A.G.T Mizeituni Kongwa na E.A.G.T Oysterbay
Ibada Zetu
Jumatatu
Saa 10:00 - 12:00 jioni
Ibada ya Vijana
Jumanne
Saa 10:00 - 12:00 jioni
Ibada ya Wamama
Jumatano
Saa 10:00 - 12:00 jioni
Mafundisho ya Neno la Mungu
Alhamisi
Kuanzia Saa Tisa mchana
Mazoezi ya Kwaya, pamoja na sifa na kuabudu
Ijumaa
Saa 10:00 - 12:00 jioni
Maombi na Maombezi
Jumamosi
kuanzia saa nne asubui
sifa na kuabudu pamoja na mazoezi ya kwaya
Jumapili - Ibada Kuu
Saa 2:30 - 3:30 asubuhi
Shule ya Jumapili - Mafundisho ya neno la Mungu
Saa 3:30 - 7:00 mchana
Ibada Kuu
Saa 10:00 - 12:00 jioni
Ibada ya Jioni - Mafundisho ya neno la Mungu
Sehemu Tulipo
E.A.G.T Mizeituni Kongwa
Kanisa la E.A.G.T Mizeituni Kongwa linapatikana Wilayani Kongwa, Mkoani Dodoma. Tunawakaribisha waumini wote kujumuika nasi katika kanisa E.A.G.T Mizeituni kongwa
Mahali: Kongwa, Dodoma
Muda wa Ibada: Angalia ratiba hapo juu
E.A.G.T Oysterbay
Kanisa la E.A.G.T Oysterbay linapatikana Osterbay, Dodoma Mjini, Mkoani Dodoma. Karibuni wote katika kanisa la E.A.G.T Oysterbay kilima cha ukombozi na uponyaji.
Mahali: Oysterbay, Dodoma Mjini
Muda wa Ibada: Angalia ratiba hapo juu
Karibu E.A.G.T Mizeituni Kongwa - Karibu E.A.G.T Oysterbay - #waebrania 10:38 - Bishop Dr. Livingstone Denis - Mchungaji Kiongozi
Karibu E.A.G.T Mizeituni Kongwa - Karibu E.A.G.T Oysterbay - #waebrania 10:38 - Bishop Dr. Livingstone Denis - Mchungaji Kiongozi