Evangelistic Assemblies of God Tanzania
E.A.G.T Oysterbay - Kilima cha Ukombozi na Uponyaji
BISHOP DR. LIVINGSTONE DENIS
Mchungaji Mkuu wa E.A.G.T Oysterbay
"Karibuni nyote katika ibada yetu. Mungu anawapenda na atafanya makubwa maishani mwenu."
Ibada Zetu
Karibuni katika ibada zetu. Tunawaalika katika ibada zetu za Kikristo ili kumtukuza Mungu na kujenga imani yetu.
JUMAPILI
Ibada ya Kiingereza
6:30AM – 8:30AM
Shule ya Jumapili
8:30AM – 9:30AM
Ibada Kuu
9:30AM – 1:00PM
Ibada ya Jioni
4:00PM – 6:00PM
JUMATANO
Mafundisho ya Neno la Mungu
4:00PM – 6:00PM
IJUMAA
Maombi na Maombezi
4:00PM – 6:00PM
"Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani, Naye akisita-sita, roho yangu haina furaha naye." - Waebrania 10:38